Mitihani ya Hon Dr. Magufuli ninayosahihisha mpaka muda huu

upendodaima

JF-Expert Member
May 23, 2013
4,072
4,497
Mitihani ya Magufuli na matokeo mpaka sasa.

1.Uchaguzi wa Meya Ilala na Kinondoni
MATOKEO: 0/88

2.Mkwamo wa kisiasa Zanzibar
MATOKEO: 0/95

3.Bomoa bomoa yenye upofu wa utu.
MATOKEO: 0/90

Tupieni mitihani yake mingine na progress katika usahihishaji
 
Kama kuna hata kimoja hapo anakitekeleza tofauti na alivyo kuahidi kwenye kampeni..basi endelea kusahisha!hata hivyo endelea kubisha nna uhakika hakupata kura yako
 
Mitihani ya Lowassa na Chadema na matokeo mpaka sasa.

1.Uchaguzi wa Urais 2015
MATOKEO: 0/88

2.Katibu Mkuu wa Chama
MATOKEO: 0/95

3.Matayarisho ya Lowassa kwa uchanguzi ujao/ Kweli UKAWA hakuna viongozi
MATOKEO: 0/90

Tupieni mitihani yake mingine na progress katika usahihishaji
 
Mitihani ya Magufuli na matokeo mpaka sasa.

1.Uchaguzi wa Meya Ilala na Kinondoni
MATOKEO: 0/88

2.Mkwamo wa kisiasa Zanzibar
MATOKEO: 0/95

3.Bomoa bomoa yenye upofu wa utu.
MATOKEO: 0/90

Tupieni mitihani yake mingine na progress katika usahihishaji
mgao wa umeme
MATOKEA: 0/100
 
Anzisha uzi pacha wa huu sio nongwa.
 
Muda bado. Baada ya mwaka inabidi tu mjaji
. Kwan ata bajeti anayotumia ni mweshimiwa
. Na hayo mengine my be anatafutia ufunguzi. Kumbuka huyu ngosha mambo yake anapanga taratibu.kwa mfano angalia baraza la mawazir ametumia siku ngap kutangaza. Pengine anataka kuja na majibu ambayo yatamaliza matatizo ya watanzanai
 
Mitihani ya Lowassa na Chadema na matokeo mpaka sasa.

1.Uchaguzi wa Urais 2015
MATOKEO: 0/88

2.Katibu Mkuu wa Chama
MATOKEO: 0/95

3.Matayarisho ya Lowassa kwa uchanguzi ujao/ Kweli UKAWA hakuna viongozi
MATOKEO: 0/90

Tupieni mitihani yake mingine na progress katika usahihishaji
NATHANI haupo sahihi
 
ILA AMEFANYA VIZURI ZAIDI KWA 34% KULIKO JK... KAZA BUTI BABA... ELIMU KWANZA... HAPO NAKUSIFU. HATA HAWA WANAOPOST ... ELIMU KWANZA!
 
Yaani kutokuichagua ukawa ilikuwa sahihi unyumbu huu hautakaa utawale hii nchi.

Yaani kwa aliki yako ilani ya miaka 5 inatekelezwa kwa siku sabini.!?
 
Mitihani ya Magufuli na matokeo mpaka sasa.

1.Uchaguzi wa Meya Ilala na Kinondoni
MATOKEO: 0/88

2.Mkwamo wa kisiasa Zanzibar
MATOKEO: 0/95

3.Bomoa bomoa yenye upofu wa utu.
MATOKEO: 0/90

Tupieni mitihani yake mingine na progress katika usahihishaji
Mm zile milioni hamsini nimeanzisha kijiji changu huku ila pesa sizioni mwambie afanye fast hiki kijiji kinanipa hasara
 
Mitihani ya Magufuli na matokeo mpaka sasa.

1.Uchaguzi wa Meya Ilala na Kinondoni
MATOKEO: 0/88

2.Mkwamo wa kisiasa Zanzibar
MATOKEO: 0/95

3.Bomoa bomoa yenye upofu wa utu.
MATOKEO: 0/90

Tupieni mitihani yake mingine na progress katika usahihishaji
Bado unazungusha mikono tuu...nmemsikia yule mzee anaanzisha nyingine ya kuzugusha miguu cjui nayo utaifuata
 
Mimi nasubiri punguzo la kodi kwa wafanyakazi(Payee ) maana hili linanihusu mojakwamoja maisha yamekuwa magumu ssnaaa ......
  1. Siyo punguzo la kodi tu, arekebishe viwango vya Mishahara ya serikali na taasisi zake. Elimu na seniority izingatiwe serikalini. Tunapishana sana kimaslahi serikalini.
 
Mahakama ya mafisadi ndani ya siku 100. Hata msingi wa hilo jengo bado...
mzee aliapa Kule mabadiliko ya kweli lakini kwa ninachokiona mpk sasa kaleta maumivu kwa walalahoi kwa kubomolewa nyumba zao. Hyu nadhani kakosa kazi ya kufanya.
 
Back
Top Bottom