Mitihani ya Hon Dr. Magufuli ninayosahihisha mpaka muda huu

Mitihani ya Hon Dr. Magufuli ninayosahihisha mpaka muda huu

Mitihani yako ni ya iwango duni sana, imelenga maeneo machache, nenda ndani azidi, zidisha maswali mengi tena yale yenye matiki pana kwa taifa. Isijekuwa unajitekenya halafu unacheka mwenyewe.
 
Muda bado. Baada ya mwaka inabidi tu mjaji
. Kwan ata bajeti anayotumia ni mweshimiwa
. Na hayo mengine my be anatafutia ufunguzi. Kumbuka huyu ngosha mambo yake anapanga taratibu.kwa mfano angalia baraza la mawazir ametumia siku ngap kutangaza. Pengine anataka kuja na majibu ambayo yatamaliza matatizo ya watanzanai
Hoja zako hazina mashiko
 
Alitumia zaidi ya siku 30 kuchambua ili atangaze baraza la mawaziri lakini alitoka na watu walewale Lukuvi, Nape, Maghembe, Simbachawene, Lwenge, Dr. Kigwangala nk. Lakini muda bado ngoja tusubiri
 
Yaani kutokuichagua ukawa ilikuwa sahihi unyumbu huu hautakaa utawale hii nchi.

Yaani kwa aliki yako ilani ya miaka 5 inatekelezwa kwa siku sabini.!?
Kumbe ishu ya Zanzibar,chaguzi za mameya na bomoabomoa mliweka kwenye ilani ya uchaguzi!

sorry i didn't know that.
 
asante mkuu !
kama daktari aliefanya uzembe mgonjwa akafa huadhibiwa kisheria..
je alievunja nyumba watoto wakafa kwa kukosa pa kulala ?
nina aleji na madhalimu.
 
Mitihani ya Lowassa na Chadema na matokeo mpaka sasa.

1.Uchaguzi wa Urais 2015
MATOKEO: 0/88

2.Katibu Mkuu wa Chama
MATOKEO: 0/95

3.Matayarisho ya Lowassa kwa uchanguzi ujao/ Kweli UKAWA hakuna viongozi
MATOKEO: 0/90

Tupieni mitihani yake mingine na progress katika usahihishaji
Asanteeer
 
Mitihani ya Magufuli na matokeo mpaka sasa.

1.Uchaguzi wa Meya Ilala na Kinondoni
MATOKEO: 0/88

2.Mkwamo wa kisiasa Zanzibar
MATOKEO: 0/95

3.Bomoa bomoa yenye upofu wa utu.
MATOKEO: 0/90

Tupieni mitihani yake mingine na progress katika usahihishaji
Tafuta hela achakupoteza muda
 
Yaani mabadiliko ya kweli amegeuza kua MAUMIVU ya kweli kwa walala hoi na mahakama ya mafisadi ndo naona hukumu yake wanaifanyia majaribio kwa kuwabomolea wasio na hatia. Kweli naamini kuna viongozi wanaohubiri uzalendo bila kua wazalendo hata kduchu
 
Binafsi nimeanza kumchoka magufuli najutia kura yangu bora ningempa mama wa ACT wazalendo tatizo ukawa walikua na mgombea wa ovyo zaidi
 
Mimi nasubiri punguzo la kodi kwa wafanyakazi(Payee ) maana hili linanihusu mojakwamoja maisha yamekuwa magumu ssnaaa ......

Japo hata mimi linanihusu sana ila kwa huyu jamaa tutasubiri sana, lazima tufikiri namna ingine ya kujikwamua angalau. Upunguziwe kodi wakati wao ndo wanaitafuta kwa udi na uvumba!!!!!!!!!!!!!! Hakika utakaa sana mkuu.
 
Milion 50 kila kijiji na kila mwezi,ujenz wa kiwanda cha ngozi ilemela wiki mbili baada ya kuapishwa.
 
Mimi nasubiri punguzo la kodi kwa wafanyakazi(Payee ) maana hili linanihusu mojakwamoja maisha yamekuwa magumu ssnaaa ......

Ndugu hilo wala usilisubiri kwa hamu sana kwa sababu utaishia kumchukia Magufuli to.

Hilo punguzo yani halitakuwa na maana yeyote sababu itakuwa ni hela ndogo sana itakayopunguzwa kama kodi na kwa vovyote iwavyo kiwango cha juu kabisa cha punguzo hilo ni she 36,360
 
Hivi, bomoabomoa ipo kwenye ilani ya uchaguzi kwa tiketi ya CCM?
 
Muda bado. Baada ya mwaka inabidi tu mjaji
. Kwan ata bajeti anayotumia ni mweshimiwa
. Na hayo mengine my be anatafutia ufunguzi. Kumbuka huyu ngosha mambo yake anapanga taratibu.kwa mfano angalia baraza la mawazir ametumia siku ngap kutangaza. Pengine anataka kuja na majibu ambayo yatamaliza matatizo ya watanzanai
Mahakama ya mafisadi msingi uko wapi? Ndani ya siku mia
 
Back
Top Bottom