maishamagumutanzania
JF-Expert Member
- Jan 21, 2013
- 221
- 65
This is a great topic that needs great minds to respond to its ingredients but let me try my part in few sentences. mapenzi ni kitu kikubwa sana (siyo haya ya kuvuana pichu guest na kupeana migongo) namaanisha long lasting mapenzi,yanahitaji umakini sana katika kuchagua mtu wa kuishi naye, wakati mwingine na bahati pia huamua yupi utaishi naye maishani mwako,
bahati mbaya sana watu wengi (wanaume na wanawake ) wamekuwa wakitazama vigezo vya nje tu kutafuta ubora wa mke au mme, wengine wanajitwisha uliberali kwa kutokuchagua eti kwa sababu mapenzi ni kupendana tu, hawa ndiyo wanaongeza idadi ya ndoa zilizovunjika na kuharibu kabisaa taswira ya tasnia ya mapenzi.
mtu utakuta amekazana kusifia makalio tuu kumbe mwenye huyo mwenye makalio hashikiki, au anasifia kiuno tu wakati kinashikwa na kila mtu kila baada ya lisaa . au mwanamke anasifia likifua tuu kumbe likifua lenyewe toto la mama no any mishe baada ya ndoa njaa haishi ndani au unakuta mwanamke kapenda staili ya nywele tu ( are you serious?)
my take ni vema kufanya upembuzi wa kutosha wa watu tunaotaka kuishi nao , ni kweli kwamba mke au mme mwema anaweza kupatikana popote na muda wowote yawezekana hata bila kutarajia lakini inapotokea hivi usikurupuke fanya research 😛ray: