Comfucious pedagogy
JF-Expert Member
- Mar 11, 2014
- 211
- 39
Kama unafahamu aina za miti, kakuwekea picha.Ni miti aina gani hiyo mkuu?
Nimemuuliza anayeuza miti, acha kiherehere chako.Kama unafahamu aina za miti, kakuwekea picha.
Kiherehere unacho wewe, unayo macho lakini hayakusaidii kuona. Hukuiona picha?Nimemuuliza anayeuza miti, acha kiherehere chako.
Nimemuuliza anayeuza miti, acha kiherehere chako.
ina cubic meter ngapi mkuu kwa makadirio yako?jumla ya miti 2570 inamiaka 8 ipo njombe.pm kama unataka tufa ye biashara
bro , miaka 4 sasa imepitaNjombe sehemu gani?