Nyamayao
JF-Expert Member
- Jan 22, 2009
- 6,966
- 2,352
hahahaha unanikumbusha kuleeeeeee b/f wako wa long time akikuomba mkumbushie utamnyima?
kumeshazibuka sasa hivi utajaribu nini tena? labda mkumbushiane tu kwa afya.
hahahaha unanikumbusha kuleeeeeee b/f wako wa long time akikuomba mkumbushie utamnyima?
Nina wasiwasi na huyu jamaa mbona anashabikia sana hii mada?Fidel80 tueleze ukweli unatumia nini mwenzetu.
We umeweka wazi.
Kweli watu wanafanya hivyo ni wazi kabisa na zinafanya kazi kabisa.
si mchezo nyamayao, haka kaishu kapo,kamchezo haka kapo tanga zaidi, dawa zipo na kweli zinafanya kazi ila kama walivyotangulia kusema wengine zina mwisho wake, hivyo siona umuhimu wa kutumia kitu kitakachokufanya uwe mnyonge na ufanyiwe unyonyaji na waganga, naona ni ukosefu wa kujiamini,uroho wa mali na saa nyingine ni ufinyu wa fikra,cha muhimu ujiamini na umfanye Mwenyezi Mungu awe ni mlinzi wa masuala yote ktk maisha yako, na hata kama mtu akakuchezea basi Mungu atakufungua

hamna raha yoyote ile kinachofanyika ni mtu kutimiza lengo lake, mfano kama kumfungulia biashara,kumjengea nyumba au yale mtu anayotaka kutokana na uwezo wake wa kufikiri,kwa wale wanaosema wanafanya hivyo tokana na mapenzi ya dhati ni uongo kwani hamna mtu asiyejua ubaya wa miziziology kwa mfanyiwa, wafanyaji always wanakua wameweka mahitaji yao mbele si kwa yule anayefanyiwahalafu kuna raha gani kuona/kujua mtu anaupenda coz umelazimisha iwe hivyo? mie ningependa mtu anipende kwa akili zake timamu.
halafu kuna raha gani kuona/kujua mtu anaupenda coz umelazimisha iwe hivyo? mie ningependa mtu anipende kwa akili zake timamu.
Na kawaida unaweza ukampenda sana mtu lakini yeye asikupende je hapo kuna haja ya kuongeza chumvi kidogo ili mtu akupende?