Miti inauzwa

Nzamilisi

New Member
Mar 31, 2017
4
0
Shamba la ekari sita lenye miti aina ya Pines yenye umri wa miaka Saba linauzwa hku Mgololo wilaya ya mufindi mkoani Iringa kwa thamani ya Tshs mil 17 tu sawa na bure kabisa....interested person njoo uone uchukue maana ni miti ambayo waweza hata anza kupasua Mbao Kama utakuwa na uhitaji wa hela haraka..wasiliana kwa simu no;0767883348 au 0718215961
 
Sasa unauza shamba au miti, au shamba pamoja na miti?

Kwakuwa title inasema miti inauzwa kisha maelezo yanadai shamba linauzwa.
 
Am sorry naona nmefanya mistake kwenye tittle lkn ni sham a pamoja na miti yake
 
Back
Top Bottom