Miti hii ya maua inaitwaje?

Miti hii ya maua inaitwaje?

King Kong III

Platinum Member
Joined
Oct 15, 2010
Posts
64,374
Reaction score
99,167
Habari Wadau,

Kuna miti ipo kwenye hizo picha,naomba kujua inaitwaje? Nimeipenda sana nataka niinunue

cc: Nyani Ngabu , MziziMkavu

Nikki.JPG
Nikki2.JPG
Nikki3.JPG
Nikki4.JPG
Nikki5.JPG
 
Last edited by a moderator:
ha ha bonge la miti lol, nilitaka kushangaa mtaalam Kingkong anataka kupanda miti?
 
Inaitwa Araucaria excelsa (spelled damn close to it), inapatikana Lushoto kwa kiasi kikubwa

Mkubwa badhani ipo tofauti na hiyo ila hata hyo nilikuwa naitafuta inaitwajwe ila wanaouza wanasema inaitwa Akbar
 
...mrembo akishavaa nguo yenye rangi zinazofanana na za kile chama cha mafisadi,hata awe mzuri vipi!....
 
YEAH... hata mimi nimeiona, sijui ardhi ya kwetu kama inastawi....
 
Back
Top Bottom