Miti hii ya maua inaitwaje?

Miti hii ya maua inaitwaje?

Ivi umependa miti au umependa aliepiga picha ktk miti?
 
...mrembo akishavaa nguo yenye rangi zinazofanana na za kile chama cha mafisadi,hata awe mzuri vipi!....

Mkuu na wewe una allergy na rangi za njano na kijani kama mm? Duu...mm hata awe kama malaika, akivaa yellow and/or green anakuwa kama.. devil.
 
Back
Top Bottom