Akili Unazo!
JF-Expert Member
- Feb 18, 2009
- 3,930
- 4,939
Inasema hivi: Nyumba na mali ni urithi apatao mtu kwa babaye
Bali mke mwenye Busara ,mtu Hupewa na Bwana
Na neno likawe taa na Mwanga popote tunapopita tuimbe haleluya
Inasema hivi: Nyumba na mali ni urithi apatao mtu kwa babayeInasemaje?
Mithali 19:14... nawatakia Jumatano Njema.
Akili Unazo!!
Ameeeeeeen....... Utampata tu usiwe na shaka mkuu!!!!!
mithal31:10-11.
Charminglady sijasema natafuta nimeiweka hapa ili liwe la kutupima kama tunayafuata haya na kuyajua kabla hatujalaumu matukio ya mahusiano..
Charminglady India umesharudi????
waooh wapaswa kuwa mchungaji umenikonga moyo.Maneno ya Mugu yanasema hiv : Mke mwema ni nani awezaye kumwona ? Maana kima chake chapita kima cha marijani moyo wa mumewe humwamini wala hatkosa kupata mapato .
Jamo la msingi ni kuwa makini katika kupata mtu sahihi ambaye Mungu amekumksudia katika kumaliza maisha yako hapa duniani tukumbuke kuw robo tatu ya maisha yaliybak ni huko ndoani . Lazima mtu upate uhakika na mtu uliye nae ndo mana tunasisitizwa tuenende katika roho tusiufuate mwili
waooh wapaswa kuwa mchungaji umenikonga moyo.
Uchungaji ndo huu huu
Inasema hivi: Nyumba na mali ni urithi apatao mtu kwa babaye.