PAPAA JIWE
JF-Expert Member
- May 12, 2014
- 866
- 151
- Thread starter
- #101
Muwe na malezi mazuri ss co kuachiaachia watoto wenu ovyo zen mnazuia tatizo kwa hivi
Huyu mtoto nyumbani kwao na kwetu ni jirani kabisa, yaani ukitoka kwetu unaingia kwao. na tumekuwa majirani tangu mwaka 2003 akiwa anajifunza kuongea hadi leo hii akiwa ananitega.
mtoto akishatoka tumboni ni wa kila mtu,sawa wazazi wake wanajukumu la kumlea katikati maadili mema lakini na jamii kwa ujumla mnatakiwa kuwaelekeza watoto kwenye njia njema sio kwa sababu si mtoto wako ni mtoto wa mwingine basi u take an advantage of her na kutembea nae