Hahahahaaaaaaaaa! Mimi nilinyang'anya simu, haikusaidia, sasa hivi nawaangalia tu! sa ntafanya nini. Pole sana madam, ila tuongee ukweli jamani, mtu toka asubuhi hadi usiku hana lingine zaidi ya kufua, kuosha vyombo, deki nk......inachosha kwa kweli, mwishowe wanaishia kufanya vioja ili ku-release tension.
kwangu mm sasa hivi nalia na Klein jaman
hapana atamla tu akitaka ila anayemtega ni hatari zaid.
hofu yangu kwa huyu ana mbinu za mitego za kufa mtu, manake anajijua kwamba ni mzuri sasa akikaa pozi zake, ndo kabisaaaa!
EMT nimecheka pasi kutarajia aisee!!
ngoja ni justfy kwann shoga yangu anahitaj mabinti 2 ama 3. nyumban kwake kuna kazi nyingi sana, kwanza duka la vyakula ambalo liko ndani, kuku wa nyama mabanda kama 3 hivi, watoto wadogo 3 mkubwa ndo just 9 na mdogo just 3. nyumba ni kubwa sana wageni kwake ni kama stendi.
haya mtu kama huyu anafanya kazi kutoka kombora kurudi majira utegemee nin??
EMT naomba niku pm tafadhali nikwambie part 3 ilivyokuwa