Mitego mahiri ya kunasa warembo

Haha hahaha najifanyaga fala au boya kumbe mnyamwezi nazuga nipo mawindo
 
Umri wako mkuu tafadhali
 
Hii chai imeungwa limao/ndimu zilizo chacha
 
Unamnyonyoa mwenyewe anakuta nyama kwenye friji anachukua kiasi anakaanga
Kipindi hicho kuna jamaa tulikuwa tunaishi mtaa mmoja hatukuwa marafiki ila tulikuwa tunaonana Mara chache bas siku kaniona ananiambia naomba kesho uje unipikie maini na wali sijui kuyapika khaa nikamwambia poa bac kimoyomoyo nasema yani huyu hajui shule anayosoma Mimi ndio headmaster
 
Kwahiyo uli aliambua vumbi au ulimvulia pichu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…