Mitego hii

aiseee hii ndio kanga1 ndembe ndembe? maana sioni dalili za kuvaa kufuli humo
 
Akina dada bwana, sasa akitokea huko nyuma SUPER MAN na Speed zake? Si utashangaa umeshafungwa goli bila kutegemea?
 
Nalionea huruma tumbo lililomzaa...
 
hili nimeliona kwenye gazeti la Risasi juzi kati limedakwa linauza nyapu kwa buku 50,000, dah ila hapo nyuma limejinyea aisee!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…