Habari wanaJf,
Siku zote wapenzi/wanadoa hupendana sana kabla na mwanzoni mwa mahusiano lakini baadaye wengi wao mambo huwa kinyume.
Tusaidiane, ni mambo yapi husababisha wanadoa/wapenzi hawo kuachana au kugombana.
kama unampenda Mungu hata mkitofautiana kidogo/sana mtaelewana na kuzd kupendanama,hamna raha kama kumpenda Mungu nime amin asiyempenda Mungu hata ajui kupenda maana Mungu ndo upendo