D deblabant JF-Expert Member Joined Oct 7, 2022 Posts 3,033 Reaction score 4,524 Oct 7, 2024 #41 cocochanel said: 🤣🤣🤣 Nini maana ya makunwa..!!! View attachment 3117710 Click to expand... Mabo ya maendeleo tangible na intangibles.
cocochanel said: 🤣🤣🤣 Nini maana ya makunwa..!!! View attachment 3117710 Click to expand... Mabo ya maendeleo tangible na intangibles.
Smart Guy JF-Expert Member Joined Dec 19, 2016 Posts 6,893 Reaction score 7,050 Oct 7, 2024 #42 Ni kweli mkuu mambo anayo Fanya ni makuma mno
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2014 Posts 102,675 Reaction score 126,930 Oct 7, 2024 #43 Mmejadiliana na mumeo akakutuma uje uandike huu ujinga wako kujaza server ya watu
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2014 Posts 102,675 Reaction score 126,930 Oct 7, 2024 #44 sysafiri said: Mbona mnatumia nguvu nyingi kumnadi Mama? Mama ameunda Tume yake kuhakikisha anabaki madarakani! Jeshi lipo! Wasi wasi wenu ni nini? Tuachieni wapiga kura tuje tuamue kwenye sanduku la kura! Click to expand... Nguvu wanayotumia kumsifia wangetumia kufanya kazi nchi ingekuwa mbali sn
sysafiri said: Mbona mnatumia nguvu nyingi kumnadi Mama? Mama ameunda Tume yake kuhakikisha anabaki madarakani! Jeshi lipo! Wasi wasi wenu ni nini? Tuachieni wapiga kura tuje tuamue kwenye sanduku la kura! Click to expand... Nguvu wanayotumia kumsifia wangetumia kufanya kazi nchi ingekuwa mbali sn
R Rabbon JF-Expert Member Joined Apr 16, 2022 Posts 25,937 Reaction score 41,157 Oct 7, 2024 #45 HATOGOMBEA!!