Kila napo ona whatsapp insta na facebook roho huwa ina niuma sana japo siwezi acha kuvitumia. Mitandao hii hii imenikosesha ndoto za kuwa na familia (kuwa na mke na watoto) hii ni baada ya kumkuta mwenza wangu ambaye nimedumu nae kwa mda mrefu sana akifanya mambo ya ajabu sana kweny hii mitandao. Na bado ukicheki wadogo zetu dada zetu kaka zetu kila pakikucha picha video na story tunazo kutana nazo humu zina ashiria hiki kizazi kina karibia kufika mwisho wake. Kuna mda natamani hii internet izimwe kbsa ila ni kitu hakiwezekani kwan internet hii hii ni ofsi za wengine. Ndio njia ya kuwasiliana. Duuuh tusalini sana jamani
Sent using
Jamii Forums mobile app