Mitandao ya simu na aina za watumiaji wake nchini Tanzania.

Sure tigo ni mtandao wa kibweg.e sana. Unampigia mtu simu hapatikani,badala wakwambie hapatikani wanakuwekea tangazo la kama dakika kisha mwishoni ndio wanakwambia hapatikani,afsa masoko wao sijui kafa,yani wana poor marketing strategy. Lini ya tigo hata wanipe bure na kifurushi cha laki moja sichukui. Ni mtandao wa wanafunzi na watu wazembe wazembe wa kuwaza.
 
Ufuatao ni utafiti wangu kuhusu aina za watumiaji wa mitandao ya simu

TIGO: Tigo ni mtandao unaotumiwa sana na watu wavivu wa kufikiri,vilaza,wanaopenda vitu vya dezo, urahisi urahisi wa maisha kama wanafunzi,wasichana ambao hawana uwezo wa kuweka vocha zaidi ya kubip na kuomba wapigiwe,watu wanaopenda kiwango/ujazo sana(quantity) kuliko ubora (quality),naweza kusema tigo ni mtandao wa watu loosers. Ni kweli kua mawasiliano ya tigo kwenda tigo ni rahisi sana ila huduma zao ni mbovu,mtandao mbovu sana.

Huwezi kukuta mtu (au kampuni) anaejitambua anatumia laini ya tigo maana mtandao wake sio tegemewa, ni loosers tu ndio wanatumia tigo maana hawana cha kupoteza hata mtandao usipokuwepo wiki nzima mfano wanafunzi ila huwezi kua mfanya biashara unaehitaji kuwasiliana wa wateja muda wote ukatumia laini ya tigo. Ni mtandao uanotumiwa na watu wanaopenda ujanja ujanja na utapeli. ndio maaana unatumiwa sana na watu wa dar maana wengi wanaishi kiujanja janja.

AIRTEL: Huu ni mtandao unaotumiwa na watu wanaojitambua kidogo bila kujali kipato chao, una huduma nzuri kidogo ingawa wana matatizo ya upatikanaji wa mtandao baadhi ya maeneo,unaweza kua hewani na mtu akakupigia akaambiwa hupatikani ingawa baadae wanakutumia sms kukujulisha kwamba ulitafutwa na namba flani,

Tatizo lao kubwa ni kwamba ukipata tatizo na ukawapigia huduma kwa wateja itaita hata masaa 3 unaambiwa tu kwamba wako bize. Nimtandao unaozidi kuboresha huduma zake kwa kasi.

VODACOM:Huu ni mtandao bora kabisa na unatumiwa na watu wanaojitambua na kuelewa wanachokifanya, ni mtandao ghali kidogo ila una uhakika wa huduma zake, ni mtandao usio na ubabaishaji wowote. Watu wanaopenda ubora na uhakika wa huduma bila kujali gharama ndio wanatumia vodacom. vodacom ni bwana la mitandao ya simu Tanzania. Watu wanaotumia vodacom sio watu wanapenda kulalamika lalamika sana,ninwatu wanaopiga kuliko kupigiwa na kuomba waongezewe hela kama watu wa tigo.

Ni mtazamo wangu tu.

ZANTEL unangukia wap?
 
We muandishi unaijua Voda au unasimuliwa tuu hayo unayoandika?hakuna mtandao magumashi km voda wezi no 1 .mi natumia voda na humu jf kuna nyuzi kibao Wateja wanailalamikia Voda lkn sio mtandao mwingine
 
Vodacom kichefuchefu..inakera sana...natamani sana kuihama voda
 
Heri yangu na mimi mpaka leo nadunda na cm yangu ya mezani nkitumia laini ya ttcl yani vocha naweka kila baada ya miezi mitatu,maana hapa nilipo na duka la vocha lilipo ni zaidi ya kilometa 420 halafu usafiri wenyewe majanga majanga vile.
Watumia cm hoyeeeeeee.
 
Ufuatao ni utafiti wangu kuhusu aina za watumiaji wa mitandao ya simu

TIGO: Tigo ni mtandao unaotumiwa sana na watu wavivu wa kufikiri,vilaza,wanaopenda vitu vya dezo, urahisi urahisi wa maisha kama wanafunzi,wasichana ambao hawana uwezo wa kuweka vocha zaidi ya kubip na kuomba wapigiwe,watu wanaopenda kiwango/ujazo sana(quantity) kuliko ubora (quality),naweza kusema tigo ni mtandao wa watu loosers. Ni kweli kua mawasiliano ya tigo kwenda tigo ni rahisi sana ila huduma zao ni mbovu,mtandao mbovu sana.

Huwezi kukuta mtu (au kampuni) anaejitambua anatumia laini ya tigo maana mtandao wake sio tegemewa, ni loosers tu ndio wanatumia tigo maana hawana cha kupoteza hata mtandao usipokuwepo wiki nzima mfano wanafunzi ila huwezi kua mfanya biashara unaehitaji kuwasiliana wa wateja muda wote ukatumia laini ya tigo. Ni mtandao uanotumiwa na watu wanaopenda ujanja ujanja na utapeli. ndio maaana unatumiwa sana na watu wa dar maana wengi wanaishi kiujanja janja.

AIRTEL: Huu ni mtandao unaotumiwa na watu wanaojitambua kidogo bila kujali kipato chao, una huduma nzuri kidogo ingawa wana matatizo ya upatikanaji wa mtandao baadhi ya maeneo,unaweza kua hewani na mtu akakupigia akaambiwa hupatikani ingawa baadae wanakutumia sms kukujulisha kwamba ulitafutwa na namba flani,

Tatizo lao kubwa ni kwamba ukipata tatizo na ukawapigia huduma kwa wateja itaita hata masaa 3 unaambiwa tu kwamba wako bize. Nimtandao unaozidi kuboresha huduma zake kwa kasi.

VODACOM:Huu ni mtandao bora kabisa na unatumiwa na watu wanaojitambua na kuelewa wanachokifanya, ni mtandao ghali kidogo ila una uhakika wa huduma zake, ni mtandao usio na ubabaishaji wowote. Watu wanaopenda ubora na uhakika wa huduma bila kujali gharama ndio wanatumia vodacom. vodacom ni bwana la mitandao ya simu Tanzania. Watu wanaotumia vodacom sio watu wanapenda kulalamika lalamika sana,ninwatu wanaopiga kuliko kupigiwa na kuomba waongezewe hela kama watu wa tigo.

Ni mtazamo wangu tu.

Vipi kuhusu TTCL & ZANTEL?
Umesema ni utafti wako sawa je wajua Airtel ni mtandao wa kimataifa na umeenea nchi nyingi duniani huku ukikaribia kua na wateja billioni1 unalitambua hli?
 
Mtoa mada nakuunga mkono wanao tumia voda ni watu wanaojitambua na kufuata huduma bora bila kuangalia gharama zake lakin Tigo ni mtandao wa madent mwanzo mwisho
 
Vodacom kichefuchefu..inakera sana...natamani sana kuihama voda

angalia tigo toka jana watumiaji wake wanalalamika kwamba mtandao haupatikani,ukiwapigia mara mtandao uko bize,mara hawapatikani,yani tigo ni shida. kama nilivyosema tigo ni mtandao wa loosers.
 
Back
Top Bottom