Kichwa Ndio Mtu
JF-Expert Member
- Jan 17, 2014
- 3,079
- 1,719
Ufuatao ni utafiti wangu kuhusu aina za watumiaji wa mitandao ya simu
TIGO: Tigo ni mtandao unaotumiwa sana na watu wavivu wa kufikiri,vilaza,wanaopenda vitu vya dezo, urahisi urahisi wa maisha kama wanafunzi,wasichana ambao hawana uwezo wa kuweka vocha zaidi ya kubip na kuomba wapigiwe,watu wanaopenda kiwango/ujazo sana(quantity) kuliko ubora (quality),naweza kusema tigo ni mtandao wa watu loosers. Ni kweli kua mawasiliano ya tigo kwenda tigo ni rahisi sana ila huduma zao ni mbovu,mtandao mbovu sana.
Huwezi kukuta mtu (au kampuni) anaejitambua anatumia laini ya tigo maana mtandao wake sio tegemewa, ni loosers tu ndio wanatumia tigo maana hawana cha kupoteza hata mtandao usipokuwepo wiki nzima mfano wanafunzi ila huwezi kua mfanya biashara unaehitaji kuwasiliana wa wateja muda wote ukatumia laini ya tigo. Ni mtandao uanotumiwa na watu wanaopenda ujanja ujanja na utapeli. ndio maaana unatumiwa sana na watu wa dar maana wengi wanaishi kiujanja janja.
AIRTEL: Huu ni mtandao unaotumiwa na watu wanaojitambua kidogo bila kujali kipato chao, una huduma nzuri kidogo ingawa wana matatizo ya upatikanaji wa mtandao baadhi ya maeneo,unaweza kua hewani na mtu akakupigia akaambiwa hupatikani ingawa baadae wanakutumia sms kukujulisha kwamba ulitafutwa na namba flani,
Tatizo lao kubwa ni kwamba ukipata tatizo na ukawapigia huduma kwa wateja itaita hata masaa 3 unaambiwa tu kwamba wako bize. Nimtandao unaozidi kuboresha huduma zake kwa kasi.
VODACOM:Huu ni mtandao bora kabisa na unatumiwa na watu wanaojitambua na kuelewa wanachokifanya, ni mtandao ghali kidogo ila una uhakika wa huduma zake, ni mtandao usio na ubabaishaji wowote. Watu wanaopenda ubora na uhakika wa huduma bila kujali gharama ndio wanatumia vodacom. vodacom ni bwana la mitandao ya simu Tanzania. Watu wanaotumia vodacom sio watu wanapenda kulalamika lalamika sana,ninwatu wanaopiga kuliko kupigiwa na kuomba waongezewe hela kama watu wa tigo.
Ni mtazamo wangu tu.