Mitandao ya simu katika mazungumzo!

DEVINE

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2011
Posts
536
Reaction score
87
jamaa alimfuata msichana ambaye anajiuza(changudoa)
jamaa;am am am...
dem;airtel
jamaa;unasemaa?!
dem;vodacom
jamaa:dada mbona sikuelewi?!
dem: just Tigo
jamaa;tigoo! hapana labda huko nipige kwa buku.
dem;dau dogo sana labda zantel.
jamaa:he! we vp, zantel ni eneo gan au mdomoni? kama huko sitaki labda kwa jero!
(mshkaji hakuelewa kabisa kumbe demu alikuwa anamaanisha).
Airtel 'jisikie huru'
Vodacom 'kazi ni kwako'
Tigo 'express yourself'
zantel 'ongea zaidi'.
 
Umekosea kidogo mkuba.......Zantel ni "TWANGA KOTEKOTE".......hahaaaaaa, lol!!!!!!!!!!
 
Porini nako kunavituko sikia hii panya 1 alikuwa kwenye pilika zake kwa bahat mbaya akamgonga nyoka.
PANYA,ahh samahan mkubwa.
NYOKA;samahani kitu gani?Kwanza imekuwaje Mtoto mdogo unamasharubu wakati kaka zako hatuna?!
PANYA; sharubu kitu gani muone kubwa zima mpaka leo unatambaa tusizinguane..
 
Ha ha ha,mia mkuu!jamaa anataka kufanya tigolization?daaah hyo ime2lia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…