naiman64
JF-Expert Member
- Nov 22, 2013
- 6,988
- 5,503
Mimi naona bora ya hizi Meseji kuliko simu inaita ukipokea unasikia " kwa mahitaji ya xxx tuone sisi tupo kinondoni mtaa wa matakataka nyumba hii" lazima nitatukana tu napatwa na hasira ya ajabu,na ukiipiga tena unaambiwa unknown number yangu wameipata wapi ya kwao unknown, hii nayo utasema mtandao wa simu hauitambui?