Mitandao ya kijamii toka nchi za jirani

newazz

JF-Expert Member
Mar 28, 2009
843
780
Ninaomba kufahamishwa mitandao ya kijamii ya aina ya Jamii forums kutoka nchi za jirani kama Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, Malawi, Zambia na Congo ( DRC). Iwe ni ya lugha ya kiswahili au kiengereza ni sawa sawa.

Ninahitaji na kusoma na mitandao ya wenzetu kuna nini... Ninaomba kufahamishwa mitandao ile yenye wasomaji, wachangiaji wengi.

Asante kwani hapa JF ni shule ya kita kitu
 
Kenya wana forums nyingi ila tatizo nyingi zimegeuzwa kuwa majukwaa ya kudiscuss mapenzi zaidi.Anyway,jaribu mashada,walalahoi,mzalendo na kenyanlist.com kwa Kenya...Uganda labda jaribu blogs...
 
Asante Lonestriker + Mlachake ,

Nitaiangalia hiyo ...

Je hakuna chochote toka kwa wenzetu wa Rwanda, Burundi, Zambia, Malawi au Drc Congo, Jamaa wa Rwanda nasikia wako mbele sana kwenye ICT.

Hata blogs zinafaa pia.

Asante kwa taarifa
 
Asante Lonestriker + Mlachake ,

Nitaiangalia hiyo ...

Je hakuna chochote toka kwa wenzetu wa Rwanda, Burundi, Zambia, Malawi au Drc Congo, Jamaa wa Rwanda nasikia wako mbele sana kwenye ICT.

Hata blogs zinafaa pia.

Asante kwa taarifa

Jaribu jukwaa, ina info nzuri na discussions ni atleast mature,. Mashada was great before 2007, now its the home of tribalistic trolls. Kuna forums nyingi sana Kenya, google tu mwanangu utazipata. Kenyanlist pia si mbaya, lakini ina mambo ya utu ukubwa sana, its not safe to use near children ama ofisini
 
Back
Top Bottom