Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 18,988
- 55,104
Daah kweli kabisaa,au unamuona x wako anataniana na I'd ya mrembo jf
Tuko wengi kwakwelMkuu umenigusa sana nikionaga watu na watoto nahisi kama wao ni special sana aisee..
Unachokisema ni kweli wakati mwingine unamu unfollow mtu maana anachangia hoja kubwa ya kukunyanyasa kifikra bila yeye kujua
Kuna watu yani since day 1 wao mambo yao hayajawahi kupinda ..bora Jf hatuonani aisee
Hatuna namna inatubidi tumshukuru Mungu kwa kila jambo/Tusikate tamaa/Tuishi kwa amaniTuko wengi kwakwel
Ila yote n life tu Bora uhai sasa
Unajua asilimia kubwa watu mitandaoni wanaigiza maisha, sasa usiombe maigizo yao yakutane na wewe ukiwa kwenye wakati mgumu, lazima yataputa na wewe kwa kiasi flani.Sijawahi amini katika maisha ya mtandaoni kabisaa!!
Zaidi ya kusoma habari huwa sijawahi waza maisha ya watu binafsi kabisaa
Bahati mbaya kabisaa nikiwa kwenye wakati mgumu siingiagi mtandaoni kabisaaUnajua asilimia kubwa watu mitandaoni wanaigiza maisha,sasa usiombe maigizo yao yakutane na wewe ukiwa kwenye wakati mgumu,lazima yataputa na wewe kwa kiasi flani.
Basi hiyo ndiyo nafuu yakoBahati mbaya kabisaa nikiwa kwenye wakati mgumu siingiagi mtandaoni kabisaa