Vodacom Tanzania ndio wenye hii tabia walikula salio langu nikawatumia meseji moja ndefu sana hadi wakanipigia simu na kuniahidi kurudisha pesa yangu lakini hadi leo kimya mwisho wa siku nikaona suluhisho ni kununua kifurushi kwa M- pesa tu.
Hao Hawana Maana Kabisa Yaani Kila Nikiongeza Salio Kwa Voucher Lazima Tsh 30 Ikatwe
Huduma Kwa Mteja Hawana Jibu
Hivi Mtu Ununue Simu Halafu Unaambiwa Wakati Unaweka Salio Data Ilikuwa On Wakati Wewe Uliiweka Off
Wana Majibu Mepesi Sana Yaani Unaambiwa System Yao Inaona Data On
Mbaya Inakatwa Kiasi Fulani Tu
VodacomTanzania Haya Ni Majizi Yenyewe YanajibuVoda jamani hadi nilihama bora mtandao pendwa
Kibaya zaidi unajibiwa hivyo alaf unakitochi chako asee voda sio wema kabisaVodacomTanzania Haya Ni Majizi Yenyewe Yanajibu
Umewasha Data Ingawa Wewe Na Simu Yako Umeweka Off
Yaani Serikali Ya Viwanda Iyakamate
Na voda pia mkuu...na ukiwapigia hao customer service wanakuambia wanairudisha lkn oohh utasubiri sana.....Tabia hiyo ipo kwa TIGO