Morgan Fisherman
JF-Expert Member
- Dec 10, 2017
- 1,928
- 2,319
Hasa voda
Haswaaa! Wameniibia na fedha zangu nilizotuma kwa wakala kimakosa. Hii line nitaitupa kabisaaaaa. Hawana msaada kwa wateja wao.Tabia hiyo ipo kwa TIGO
Hiki ndio ninachofanya, hapo awali nilikuwa napenda kuacha salio incase of emergency walikuwa wanapitia.Ukitaka Uwe Salama Kwa Vodacom
Ununue Salio Ama Bando Kwa MPESA