Mitandao mingine igeni kutoka Tigo

Mitandao mingine igeni kutoka Tigo

Kwa tigo ya simu ninayotumia mimi sasa hivi imeleta jibu
salio halitoshi. ongeza salio au piga *149*49# upate sek 240 za niwezeshe.

Nyie mnatumia tigo ipi

Nipo Iringa nilitumiwa hiyo meseji na tigo lakini kama huna salio meseji haiendi.
Ninachofurahia tigo kwa sasa ni FREE INTERNET ORG ambayo naperuzi JAMIIFORUMS bila DATA.

Mimi natumia mtanfdao wa TIGO lakini hakuna cha msg za bure wala INTERNET YA BURE labda sio tigo hii ninayotumia

Mnaongelea tigo ipi???
 
Tigo hawa hawa ambao mb zangu zinapotea bila kuzitumia kisa mtandao wao upo chin???
 
Tigo wanaboa.. Ngoja nawasubiri Halotel mwezi ujao wanaanza huduma ya Mawasiliano nchi nzima.. nataka nione ulimwengu mpya wa fiber optic waya badala ya microwave technology iliyopo Sasa nchini
 
Back
Top Bottom