Sio kweli mkuu,labda inategemea na sehemu ulipo......
Nipo Iringa nilitumiwa hiyo meseji na tigo lakini kama huna salio meseji haiendi.
Ninachofurahia tigo kwa sasa ni FREE INTERNET ORG ambayo naperuzi JAMIIFORUMS bila DATA.
Mtandao upi wa tigo huu au ule mwingine?
Mtandao upi wa tigo huu au ule mwingine?
Mimi natumia mtanfdao wa TIGO lakini hakuna cha msg za bure wala INTERNET YA BURE labda sio tigo hii ninayotumia
Furahia kutuma SMS BURE kabisa ukiwa na mtandao wa Tigo. Huitaji kujiunga.
Chanzo:Tigo
Sio kweli mkuu,labda inategemea na sehemu ulipo......