diana chumbikino
JF-Expert Member
- May 29, 2018
- 428
- 368
Sasa kama mitambo hiyo haipatikani sehemu nyingine ispokuwa TZ,kwenye makonte imeingia ikitokea/kutengenezwa Dodoma au Geita?Nimeiona hiyo mitambo mitatu hapo juu kwa mfano huo wa kushoto hapo unatumia umeme kidogo sana.
Na hata huo wa chini hapo haupatikani sehemu nyingine yoyote zaidi ya hapa Tanzania.
Hongera sana awamu ya 5 kwa mitambo hiyo hapo juu.
Sasa kama mitambo hiyo haipatikani sehemu nyingine ispokuwa TZ,kwenye makonte imeingia ikitokea/kutengenezwa Dodoma au Geita?
Shida ndipo inapoanzia hapoHaya waanze kuzalisha tununue pea ya kiatu kwa laki mbili maana bei zao hao magereza sio za dunia hii!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya waanze kuzalisha tununue pea ya kiatu kwa laki mbili maana bei zao hao magereza sio za dunia hii!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama vile vitanda pale sabasaba!
Sent from my iPhone using JamiiForums
'Hapo juu' zilipo picha za hizo mashine ni comment #ngapi?Nimeiona hiyo mitambo mitatu hapo juu kwa mfano huo wa kushoto hapo unatumia umeme kidogo sana.
Na hata huo wa chini hapo haupatikani sehemu nyingine yoyote zaidi ya hapa Tanzania.
Hongera sana awamu ya 5 kwa mitambo hiyo hapo juu.
80 containers? Ina maana wataanzia kwenye kuchakata ngozi mbichi?View attachment 1378032
AWAMU ya kwanza ya mitambo ya Kampuni ya Kutengeneza Viatu ya Jeshi la Magereza imeshawasili nchini kutoka nchini Italia. Hayo yamebainishwa na Msemaji wa Jeshi la Magereza nchini, Amina Kavirondo alipozungumza na HabariLEO.
Kavirondo amesema makontena 15 kati ya 80 ya mitambo hiyo yaliwasili nchini mwisho wa mwezi uliopita na yameshafikishwa kwenye kiwanda hicho mjini Moshi mkoani Kilimanjaro. Amesema awamu ya pili itakuwa na kontena 23 na awamu ya tatu itakuwa na kontena 42, hivyo kufanya mzigo wote kuwa na jumla ya kontena 80.
Kuja kwa mitambo hiyo kutalifanya Jeshi la Magereza kupitia kampuni yake ya Karanga Leather Industries kuimarisha uwezo wake wa kujitegemea kutokana na uwezo litakaokuwa nao katika kuzalisha viatu vya kijeshi na viatu vya kiraia. Mkurugenzi wa kampuni hiyo, Masoud Omari amesema mitambo hiyo haijafungwa kwa kuwa inasubiri awamu ya pili ya mitambo mingine ambayo iko njiani ili ifungwe kwa pamoja.
Kwa mujibu wa Omari, kampuni hiyo kwa sasa inazalisha buti za jeshi pekee lakini mitambo inayokuja itawapa fursa ya kuanza kutengeneza viatu vya kiraia vya wanawake, wanaume na watoto kuanzia Agosti mwaka huu endapo kila kitu kitakwenda kama kilivyopangwa
Tanzania hata twiga anapanda ndege na anafika salama kabisa, usicheze na watz weweSasa kama mitambo hiyo haipatikani sehemu nyingine ispokuwa TZ,kwenye makonte imeingia ikitokea/kutengenezwa Dodoma au Geita?
Laki mbili kwa kiatu kizuri na durable mbona sio shida..Haya waanze kuzalisha tununue pea ya kiatu kwa laki mbili maana bei zao hao magereza sio za dunia hii!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
nadhani issue kubwa hapa ni management iliyo bora yaani yenye watu sahihi, otherwise yatakuwa yale yale km siku zote!Serikali na taasisi zake, hawajawahi kufanya mradi wowote kwa faida. Labda kama huu utakuwa wa kwanza.