Lowassa kaanza kubania ela zake za mwisho mwisho kishaona Hali halisi, Leo akiwa Mbeya Mbowe kaanza kuchochea vurugu kwa kuwataka vijana kufanya Doria mitaani uck wa tareh 24 eti kuzuia watu wasinunue shahada huu ni mwanzo wa vurugu, nawakumbusha tu wakianza vurugu mapema basi ndo watapotea kabisa kwa kuwa itabidi masanduku yote ya kura yakahifadhiwe Polisi mpaka vurugu Iiahe then zoezi la kuhesab liendelee, CUF walijarib vurugu miaka ya nyuma wamejifunza kule visiwan ndo maana mwaka huu wanaendesha siasa za kistaarabu, Mkilianzisha tu mjue hata ubunge mtausikia kwny Makongamano na Warsha