Mitaa wanayoishi MADON katika kila mkoa ni hii hapa

Kila mtu ana lengo la kujenga au kuanzisha makazi sehemu zenye utulivu, amani na usalama vilevile kwenye hewa na upepo mwanana.

Mara nyingi hizi ni sehemu ambazo wanaishi madon au watu wenye ukwasi wa kutosha. Kwa research yangu baada ya kuzunguka mikoa mingi ya Tanzania basi hizi ni sehemu ambazo wanaishi madon unaweza na wewe ukaongezea.

DAR ES SALAAM ni Mbezi beach, Masaki, Oysterbay, Mikocheni B na Mbweni
MWANZA ni bwiru, Kapripoint na Kiseke
BUKOBA ni Miembeni na nyamkazi
MBEYA ni Forest Mpya na isyesye
DODOMA ni area D na kisasa
TANGA ni Raskazone
ARUSHA ni Njiro
MOSHI ni Shanty Town
MTWARA ni Shangani
MOROGORO ni Forest Hill
TABORA ni Uzunguni Nzega
SINGIDA ni Uwenge Uzunguni
SHINYANGA ni Bushushu na Majengo
ZANZIBAR ni Chukwani na Mbweni
IRINGA ni Gangilonga
LINDI ni mtanda
KAGERA ni nshambya

View attachment 1684827
Kwa Mwanza umeisahau Mwananchi
 
MBEYA KUNA IWAMBI, VETA, ISYESYE, IWAMBIA UANZIE JB KUJA MAZIWA MWISHO GETI LA PILI, UZUNGUNI PIA....
 
Kila mtu ana lengo la kujenga au kuanzisha makazi sehemu zenye utulivu, amani na usalama vilevile kwenye hewa na upepo mwanana.

Mara nyingi hizi ni sehemu ambazo wanaishi madon au watu wenye ukwasi wa kutosha. Kwa research yangu baada ya kuzunguka mikoa mingi ya Tanzania basi hizi ni sehemu ambazo wanaishi madon unaweza na wewe ukaongezea.

DAR ES SALAAM ni Mbezi beach, Masaki, Oysterbay, Mikocheni B na Mbweni
MWANZA ni bwiru, Kapripoint na Kiseke
BUKOBA ni Miembeni na nyamkazi
MBEYA ni Forest Mpya na isyesye
DODOMA ni area D na kisasa
TANGA ni Raskazone
ARUSHA ni Njiro
MOSHI ni Shanty Town
MTWARA ni Shangani
MOROGORO ni Forest Hill
TABORA ni Uzunguni Nzega
SINGIDA ni Uwenge Uzunguni
SHINYANGA ni Bushushu na Majengo
ZANZIBAR ni Chukwani na Mbweni
IRINGA ni Gangilonga
LINDI ni mtanda
KAGERA ni nshambya

View attachment 1684827
Arusha ni Njiro, Sakina, Burka, Uzunguni(Themi) na Moshono
 
labda kwa vile tumeletewa soko la sabasaba na ukinyoosha barabar ya shapriya unaenda kutobolea beach. ukitoa shangani kwa vile toka ukolon bas labda urudi huku king david ndo kwa vile wamejenga jenga vinyumba vipya ila pako hoi tu

Mangowela na Chuno kuna wakishua gani mkuu?
Au kila mkoa una standard zake za ukis
 
labda kwa vile tumeletewa soko la sabasaba na ukinyoosha barabar ya shapriya unaenda kutobolea beach. ukitoa shangani kwa vile toka ukolon bas labda urudi huku king david ndo kwa vile wamejenga jenga vinyumba vipya ila pako hoi tu
Ile barabara tamu sana
 
Kila mtu ana lengo la kujenga au kuanzisha makazi sehemu zenye utulivu, amani na usalama vilevile kwenye hewa na upepo mwanana.

Mara nyingi hizi ni sehemu ambazo wanaishi madon au watu wenye ukwasi wa kutosha. Kwa research yangu baada ya kuzunguka mikoa mingi ya Tanzania basi hizi ni sehemu ambazo wanaishi madon unaweza na wewe ukaongezea.

DAR ES SALAAM ni Mbezi beach, Masaki, Oysterbay, Mikocheni B na Mbweni
MWANZA ni bwiru, Kapripoint na Kiseke
BUKOBA ni Miembeni na nyamkazi
MBEYA ni Forest Mpya na isyesye
DODOMA ni area D na kisasa
TANGA ni Raskazone
ARUSHA ni Njiro
MOSHI ni Shanty Town
MTWARA ni Shangani
MOROGORO ni Forest Hill
TABORA ni Uzunguni Nzega
SINGIDA ni Uwenge Uzunguni
SHINYANGA ni Bushushu na Majengo
ZANZIBAR ni Chukwani na Mbweni
IRINGA ni Gangilonga
LINDI ni mtanda
KAGERA ni nshambya

View attachment 1684827
Dar es salaam Kuna maeneo mengi ya madon kuliko uliyotaja, Kigamboni Kisota,Mbweni,Kijichi.
Morogoro hujaitendea haki Mkundi sheli.
 
Kila mtu ana lengo la kujenga au kuanzisha makazi sehemu zenye utulivu, amani na usalama vilevile kwenye hewa na upepo mwanana.

Mara nyingi hizi ni sehemu ambazo wanaishi madon au watu wenye ukwasi wa kutosha. Kwa research yangu baada ya kuzunguka mikoa mingi ya Tanzania basi hizi ni sehemu ambazo wanaishi madon unaweza na wewe ukaongezea.

DAR ES SALAAM ni Mbezi beach, Masaki, Oysterbay, Mikocheni B na Mbweni
MWANZA ni bwiru, Kapripoint na Kiseke
BUKOBA ni Miembeni na nyamkazi
MBEYA ni Forest Mpya na isyesye
DODOMA ni area D na kisasa
TANGA ni Raskazone
ARUSHA ni Njiro
MOSHI ni Shanty Town
MTWARA ni Shangani
MOROGORO ni Forest Hill
TABORA ni Uzunguni Nzega
SINGIDA ni Uwenge Uzunguni
SHINYANGA ni Bushushu na Majengo
ZANZIBAR ni Chukwani na Mbweni
IRINGA ni Gangilonga
LINDI ni mtanda
KAGERA ni nshambya

View attachment 1684827
UJIJI KIGOMA
 
Tutajie unapoishi
1763485383652.png
 
Tabora ni Cheyo . Mwanza ni Capripoint , Bwiru , Mwananchi, Kiseke , Isamiro ,Nyasaka na Nyamongoro
 
Kila mtu ana lengo la kujenga au kuanzisha makazi sehemu zenye utulivu, amani na usalama vilevile kwenye hewa na upepo mwanana.

Mara nyingi hizi ni sehemu ambazo wanaishi madon au watu wenye ukwasi wa kutosha. Kwa research yangu baada ya kuzunguka mikoa mingi ya Tanzania basi hizi ni sehemu ambazo wanaishi madon unaweza na wewe ukaongezea.

DAR ES SALAAM ni Mbezi beach, Masaki, Oysterbay, Mikocheni B na Mbweni
MWANZA ni bwiru, Kapripoint na Kiseke
BUKOBA ni Miembeni na nyamkazi
MBEYA ni Forest Mpya na isyesye
DODOMA ni area D na kisasa
TANGA ni Raskazone
ARUSHA ni Njiro
MOSHI ni Shanty Town
MTWARA ni Shangani
MOROGORO ni Forest Hill
TABORA ni Uzunguni Nzega
SINGIDA ni Uwenge Uzunguni
SHINYANGA ni Bushushu na Majengo
ZANZIBAR ni Chukwani na Mbweni
IRINGA ni Gangilonga
LINDI ni mtanda
KAGERA ni nshambya

View attachment 1684827
Upo sawa
 
Back
Top Bottom