Mitaa wanayoishi MADON katika kila mkoa ni hii hapa

Mitaa wanayoishi MADON katika kila mkoa ni hii hapa

Arusha sio Njiro mkuu sasa hivi ni wasaka nyoka ndio tupo huko kwa matajiri Arusha wana eneo linaitwa kivulini huko Arusha airport kiwanja pekee wanauza kwa heka zaidi ya usd 300,000 na nyumba wakijenga huko hawajengi fensi wanasema unaharibu mazingira labda upande fence ya miti iwe mifupi ni camera tu huko na wanazungusha bara bara ya lami kwa kila maeneo yao au zege..
Ukiwa unaelekea kisongo pale round about kata kulia utaona balaa la kule sio Njiro tena kuna vumbi tu..
 
Kila mtu ana lengo la kujenga au kuanzisha makazi sehemu zenye utulivu, amani na usalama vilevile kwenye hewa na upepo mwanana.

Mara nyingi hizi ni sehemu ambazo wanaishi madon au watu wenye ukwasi wa kutosha. Kwa research yangu baada ya kuzunguka mikoa mingi ya Tanzania basi hizi ni sehemu ambazo wanaishi madon unaweza na wewe ukaongezea.

DAR ES SALAAM ni Mbezi beach, Masaki, Oysterbay, Mikocheni B na Mbweni
MWANZA ni bwiru, Kapripoint na Kiseke
BUKOBA ni Miembeni na nyamkazi
MBEYA ni Forest Mpya na isyesye
DODOMA ni area D na kisasa
TANGA ni Raskazone
ARUSHA ni Njiro
MOSHI ni Shanty Town
MTWARA ni Shangani
MOROGORO ni Forest Hill
TABORA ni Uzunguni Nzega
SINGIDA ni Uwenge Uzunguni
SHINYANGA ni Bushushu na Majengo
ZANZIBAR ni Chukwani na Mbweni
IRINGA ni Gangilonga
LINDI ni mtanda
KAGERA ni nshambya

View attachment 1684827
Nimecheka sana ati bukoba ni Miembeni na nyamkazi.miembeni vimejaa bi grocery vya pombe na mabinti wanajiuza mchana kweupe.kuna vibaya kinaitwa matako bar na nyamkazi ni kwa wavuvi bora ungesema kibeta,majengo na rugambwa road.
 
Kila mtu ana lengo la kujenga au kuanzisha makazi sehemu zenye utulivu, amani na usalama vilevile kwenye hewa na upepo mwanana.

Mara nyingi hizi ni sehemu ambazo wanaishi madon au watu wenye ukwasi wa kutosha. Kwa research yangu baada ya kuzunguka mikoa mingi ya Tanzania basi hizi ni sehemu ambazo wanaishi madon unaweza na wewe ukaongezea.

DAR ES SALAAM ni Mbezi beach, Masaki, Oysterbay, Mikocheni B na Mbweni
MWANZA ni bwiru, Kapripoint na Kiseke
BUKOBA ni Miembeni na nyamkazi
MBEYA ni Forest Mpya na isyesye
DODOMA ni area D na kisasa
TANGA ni Raskazone
ARUSHA ni Njiro
MOSHI ni Shanty Town
MTWARA ni Shangani
MOROGORO ni Forest Hill
TABORA ni Uzunguni Nzega
SINGIDA ni Uwenge Uzunguni
SHINYANGA ni Bushushu na Majengo
ZANZIBAR ni Chukwani na Mbweni
IRINGA ni Gangilonga
LINDI ni mtanda
KAGERA ni nshambya

View attachment 1684827
Songea ni seedfarm,mji mwema,Msamara na ruhuwiko
 
Miaka ya 1980s kama siyo 1970s band ya muziki ya Urafiki iliachia wimbo ikihamasisha watu kwenda Gezaulole,Kibugumo na Mwanadilatu kulima badala ya kung'ang'ania city center na vibiashara uchwara!

Waliohamasika kwenda kununua maeneo miaka hiyo kwa sasa "wanachekea chooni".
 
Back
Top Bottom