Mita ya Luku ya inhemeter haikubali token

Mita ya Luku ya inhemeter haikubali token

James Kasonda

Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
84
Reaction score
49
Ni wiki ya tatu sasa mafundi wa Tanesco wanahangaika na mita yangu ya three phase aina ya inhemeter lakini patupu. Mwenye solution tafadhali
 
Sijajua ni ipi lakini hata sisi huku ni week na ushee hatuna umeme mita imezingua na ni mpya haikumaliza hata miezi miwili toka ya kwanza ambayo ilidumu sana kubadilishwa.
 
Inaandikaje wakuu tuambie ni inawezekana tukawa na suruhu ya matatizo yenu maana wote tunatumia umeme na hizo miter
 
Sijajua ni ipi lakini hata sisi huku ni week na ushee hatuna umeme mita imezingua na ni mpya haikumaliza hata miezi miwili toka ya kwanza ambayo ilidumu sana kubadilishwa.

Mnaiba umeme,mlikua mnataka kufanya bypass...cha ajabu hamuwezi report sababu wakija wataona hiyo tamper!

Acheni wizi
 
Mnaiba umeme,mlikua mnataka kufanya bypass...cha ajabu hamuwezi report sababu wakija wataona hiyo tamper!

Acheni wizi
Wee jamaa fala nini?

Walipewa taarifa wakadai wanasubiri luku nyingine ziwasili na ilikwishabadilishwa.
 
Mita namba yako ina anza na namba ipi kama ni 37 basi nina solutions
 
Hizo code number zinazotokea si zipo kwenye MANUAL inaonyesha tatizo ni nini au hakielweki kinachoandikwa?
 
Back
Top Bottom