Mita sehemu nyeti.

Mita sehemu nyeti.

MZOMOZI

Member
Joined
May 24, 2011
Posts
43
Reaction score
4
Fikiria mungu angeweka kipimo kama mita sehemu zetu za siri ili kila mwenza aweze kumkagua mwenzake mara ya mwisho waliendesha mpaka wapi ndoa au wachumba wangapi wangedumu katika mahusiano?
 
Watu wangezichakachua tu kama wachakachuavyo LUKU, SPEED-GOVERNOR nk. Mchana K inapigwa na mwanamke anaichakachua mzee ukirudi jioni unakuta sexmeter iliile ulioiacha.
 
Ebu jaribu kuasume uume ungekuwa unachongwa kama penseli kila baada ya tendo ili kuurudishia makali usiwe butu mpaka sasa ungekuwa umebakiwa na urefu gani??
 
ya rafiki yangu ally ingekuwa na km milioni mia moja
 
Mi ningeigeuza iwe inrudi rivasi.
Hap[o ni kukamua tu mwanangu.
 
yangu ungekuta sasa ni shimo. ee ndo ivo tena kuchongwa sana
 
tehe tehe teheee, mi ningechakachua mita
 
Hebu fikiria wakat wa ku do kama bao lingekuwa linatoa mlio kama wa bunduki nauhakika wa2 weng wangeshkwa ugoni,na usiku mitaani ingekuwa kero kwa sababu kuna wengne wanafunga mpaka goli nne uko gest ingekuwa balaa au kwenye uchochoro.ingekuwa ni paaah paah teh teh.
 
Hebu fikiri mashine ingekuwa inachajiwa kama simu ndo isimame,unafikiri ungechaji mara ngapi kwa wiki?au chaji inaisha katikati ya gemu ungefanyaje?
 
Hebu fikiria wakat wa ku do kama bao lingekuwa linatoa mlio kama wa bunduki nauhakika wa2 weng wangeshkwa ugoni,na usiku mitaani ingekuwa kero kwa sababu kuna wengne wanafunga mpaka goli nne uko gest ingekuwa balaa au kwenye uchochoro.ingekuwa ni paaah paah teh teh.
Tehe tehe!!hi kali!wezi wa ngono na wake za watu wangekamatwa sana
 
Back
Top Bottom