Kurzweil
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 6,622
- 8,410
Habari wakuu,
Habari zilizonifikia hivi punde ni kuwa aliyekua Mwenyekiti wa Umpja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi huko Misungwi mkoani Mwananza Bwana Mansoor Mohammed amefikishwa kortini kwa tuhuma za kukamatwa na noti bandia za thamani ya Shilingi 210,000.