Uchaguzi 2020 Misungwi: Alexander Mnyeti hajapita bila kupingwa, Mgombea wa CHADEMA ameteuliwa kupambana naye

chadema ni watoto, mnafahamu jinsi watoto walivyo, ...
Wanakua hivyo
IMG-20200823-WA0008.jpg
 
Ni kweli kwamba Mgombea wa CHADEMA, Mwl Shija alivamiwa na watu waliotumwa kumpora fomu ili akose uteuzi kwa malengo ya kumpitisha Mnyeti bila kupingwa lakini alichoporwa ni fomu feki.

Amewasilisha fomu halisi kwa Mkurugenzi na ameteuliwa, anazo nyaraka zote za tume za kumtambulisha kama mteule kwa hiyo hizo porojo kwamba Mnyeti kapita bila kupingwa zipuuzwe, atalazimika kuutafuta ubunge jukwaani.

View attachment 1548289
Nyie ndo mlituripotia kwamba Mnyeti kapita bila kupingwa,nyie hao hao ndo mnaturipotia tena kwamba Mgombea wa Chadema karudisha fomu. Acheni kuvuta bangi mbichi mtajikuta mnakunya kinyesi rangi ya tairi
 
Haitakiwi mtu apite kirahisii watu washindane kwa kura
Na ccm kwa wizi wizi huu wa kuea mnaudhi sana
 
Ni kweli kwamba Mgombea wa CHADEMA, Mwl Shija alivamiwa na watu waliotumwa kumpora fomu ili akose uteuzi kwa malengo ya kumpitisha Mnyeti bila kupingwa lakini alichoporwa ni fomu feki.

Amewasilisha fomu halisi kwa Mkurugenzi na ameteuliwa, anazo nyaraka zote za tume za kumtambulisha kama mteule kwa hiyo hizo porojo kwamba Mnyeti kapita bila kupingwa zipuuzwe, atalazimika kuutafuta ubunge jukwaani.

View attachment 1548289
Nikimuangalia huyu dogo usoni, tayari Mnyeti anahitaji reasoning kubwa badala ya mazoea ya ya kiburi cha mkuu wa mkoa. Dogo ana mtaji na mara nyingi ukiweka mbinu kama hizo za kuteka watu, unaongeza umaarufu wa mtekwaji.
 
Sio alitengeneza sinema, maana saccos ni mabingwa wa kutengeneza sinema za kihindi
Nooo! Nadhani Mnyeti mwenyewe ndo feki tu! Sehemu nyingi pesa imetumika kuwalaghai wapinzani. Kuna hadithi hata Moro mjini yule mdada kajifanya maimuna na kukosea kuijaza fomu baada ya kurekebishiwa uchumi wake.
 
Mbona update kwenye ile sredi ya waliopita bila kupingwa haionyeshi badiliko kuhusu wagombea wa huko Misungwi?
 
Ni kweli kwamba Mgombea wa CHADEMA, Mwl Shija alivamiwa na watu waliotumwa kumpora fomu ili akose uteuzi kwa malengo ya kumpitisha Mnyeti bila kupingwa lakini alichoporwa ni fomu feki.

Amewasilisha fomu halisi kwa Mkurugenzi na ameteuliwa, anazo nyaraka zote za tume za kumtambulisha kama mteule kwa hiyo hizo porojo kwamba Mnyeti kapita bila kupingwa zipuuzwe, atalazimika kuutafuta ubunge jukwaani.

View attachment 1548289
Chadema mnakwama wapi?
Uhuni unakuwa plotted against nyie kila leo.
Mnashindwa nini kujibu mapigo kwa aina hiyo hiyo? Au mnategemea kuripoti kwa tume na polisi iwasaidie?

Mkitekwa, mkipigwa, mkikataliwa kupokelewa fomu, mkikamatwa na polisi kwa grounds ambazo ni evil nanyi chukueni hatua za aina hiyo hiyo kuwajibu hao wanaowafanyia hivyo.

Ukiona aliyekufanyia hivyo ana nguvu kuliko wewe basi tafuta mke/mumewe, watoto wake tekeleza. In a long run watajifunza, kutakuwa na parity
 
Uhuni huu utaisha kwa Watanzania kuukataa tu. Ajabu kuna kundi kubwa wanaushangilia kwa vigelegele. Maadili yetu kama Taifa yamekwenda wapi?
Ukiwaambia watu kuwa watanzania bado tumeshenzika wanatoa mapovu. Hatuna weledi wala maadili yanayo endana na haki pamoja na amani. Tunataka kulazimisha amani bila haki. Shenzi sana (kwa sauti ya Ndugu Francis Atwoli wa Kenya).
 
Kuendelea kuwa na negativities/kung'ang'aniza mawazo hewa kama yako ni kama kubishana kwa kutumia kiuno.
Kama yako, maana ungekuwa na positive mind ungesubiri taarifa za pande zote mbili au muamuzi wa Kati na sio ku take sides, hivyo wewe unaonyesha ni mkate viuno square
 
Back
Top Bottom