Mistari tata ya Nikki Mbishi, baba Malcom

Mistari tata ya Nikki Mbishi, baba Malcom

Mie amkubali sana Stamina kwa staili yake na maneno yake

Tatizo la stamina analinganisha sana vitu..mfno,utaskia wema kama sepetu,george kama masatu..nikki.mbishi anacreat new ideas..malcom is like i dad leo usinletee pipi nataka ipad..nikki nabaki ooh my gad.. mbishi
 
Lakn anavyoimba na kiki ile namkubali

Anajua kuimba kwa watu wavivu hakika kumsikiliza One incredible utashindwa kama umemzoea stamina huwa namsikiliza ila simkubali kihivyo
 
Mistari hii niki isikilizaga huwa inanikera sana !


I don't see the difference between Rap and Bible /

Na wajukuu wengi mpaka najiuliza nimtume nani/
Nitume mimi YESU akasema/
akaja akala kichapo sijui ka atarudi Tena/

Haaaaaaaa haaaaa 😀 Tamaduni myuthic bana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom