Mistari kwenye hip hop ya Bongo ilitia fora

wanao Skiliza hawaskiii wanaoskia Hawaskilizi,, machizi si miujiza tunasonga namna Hii!!

Tunasonga Kwa Mwendo wa Farasi Au Kinyonga!!
Nimefungua macho kujikuta gizani, kimenuka nadhani, watu wameshavuta majani yaani kiasi kusuka dili kujistiri gizani.....
By Hasheem Dodo the Underground Mcee!
Tunasonga feat Kalapina.
 
Nakumbuka Niko advance nikaandikaga pembeni verse ya afande Sele kwenye nyimbo ya elimu dunia nikaweka kwenye kaunta book.
Manzi wangu alipoionaga ile karatasi kwenye makabrasha yake alinirudishia Kwa heshima zote ananambia eti ile sala yako uliyoiandika hii APA nimeikuta kwangu.
Heshima kwako mfalme Wa rhymes
Hahahahah nimecheka sana,ile verse Kali sana lakini
 
Tunatumia miaka Sita kuwakamata mafisadi/

Na uongozi ni miaka tisa wa kumi tunaachia ngazi/

Siwalipii kisasi walionifanyia mabaya/

Nitawasaidia hata kwa cash mwishoni wataona haya/


Sina ndoto ya utukufu kwenye ufalme wa faraao/
Nitahit bila bifu ya kudiss nyimbo zao/

Suma mnazaleti-Hisia za mtaa.
 
Chuki zimewajaa moyoni mpaka wakipumua wanasababisha global warming kwa kutoboa ozone leyaa/

Watu wa mtaa ziachane roho za giza karibisheni za taa/

Cheki maisha yanaenda kasi yatawaacha mmezubaa/

SUMA MNAZALETI.
 
Kitaa, ndo napotoka/
napopata hisia zangu za kuchana napofoka/
Unaposota unapohaso mpaka jasho linatoka/
Mitaa inaniamini kama kiongozi wa dini/
rip_langa
 
Aliniuliza kama nina demu. Nikamwambia sina akadai ashawahi kuniona sehemu tatizo amenisahau jina. Unaitwa nani? Fid Q. unaishi wapi? gheto. Kazi yako nini?Mziki. Daz Baba ft Fid Q-mrembo namba 8

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
leo nimekumbuka hiki kipande
 
Nimefungua macho kujikuta gizani, kimenuka nadhani, watu wameshavuta majani yaani kiasi kusuka dili kujistiri gizani.....
By Hasheem Dodo the Underground Mcee!
Tunasonga feat Kalapina.
Uandishi wa Hasheem Dogo ni wakipekee na hakika hakuna Rapa wa Bongo anaeweza kuandika namna hyo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom