Tuanze na hii picha namba
moja.
Mstari mmoja mweupe solid katikati ya barabara maana yake hauruhusiwi ku-overtake. Si ndio hivo wakuu ama?
Je, mistari ikiwa double. Kama picha namba
mbili hapa chini?
Tofauti na namba
moja iko vipi?
Tuendelee...
Kuna sehemu mstari mmoja solid, mwingine dashed. Kama namba
tatu hapa chini.
Maana yake nini hapa, kwamba ni ruhusa ku-overtake? Siwezi kupigwa faini eeeh?
Anyway, hapo hapo kwenye
dashed line, hii mistari nayo inakuaga aina mbili.
Kuna mmoja unakua "
long dashed" kama picha namba
nne hapa chini.
Hiyo ina tofauti gani kimatumizi na "
short dashed" line kama hii namba
tano!
Mwisho kabisa, I'm just curious...
Hivi tofauti ya
colour kwenye mistari ina matter sana? Mfano badala ya "single
white solid line" ukute ni mistari wa
njano kama hizi picha namba
sita na
saba:
Zina tofauti gani na zile
moja na
mbili pale juu!