kidunula1
JF-Expert Member
- Apr 2, 2016
- 6,299
- 6,321
Safi mana umekataa kuwa poyoyo!Nazgur wa Isengard:
Cdm ina tatizo , haina muonekano wa kitaifa.
Ccm pia imeanza kuwa hivyo(japo ina uafadhali bado)
Act nayo imeshaenda upande wake inaoujua.
Kiufupi vyama vyote vikubwa vinamwelekeo wa kuligawa taifa.
Katika hivi vyama vitatu ni ccm na cdm ndiyo angalau wanaweza chukua hatua na kuvifanya vyama vyao kuwa na mwonekano wa kitaifa, lakini sioni dalili ya jitihada zozote katika hilo.
Tz tuna kazi kubwa ya kufanya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app