Mission accomplished- Fall of Jamuhuri ya Kusadikika

Lord denning

JF-Expert Member
Jun 3, 2015
13,247
26,149
Jamhuri ya kusadikika ni nchi iliyojizolea umaarufu katika bara la Kufikirika taingia miaka ya 1960 hadi 1980 kutokana na mchango wake mkubwa katika ukombozi wa nchi mbalimbali.

Ingawa kiongozi wake wa kwanza hakuwa mzuri sana kwenye kutengeneza uchumi wa uhakika kutokana na sera zake mbovu kiuchumi ila ki diplomasia aliweka kujenga ushawishi mkubwa sana hadi nchi yake ikatambulika kimataifa kama kisiwa cha Diplomasia.

Viongozi watatu waliomfuata kiongozi wa kwanza wa Jamhuri ya kusadikika waliweza kutengeneza Jamhuri imara yenye ushawishi kidiplomasia lakini pia walianza kujenga uchumi imara katika Jamhuri iyo. Ilifika kipindi katika awamu ya nne katika Jamhuri ya Kusadikika ilitabiliwa kuwa ndani ya miaka michache nchi hiyo ingekuja kuwa Powerhouse kiuchumi katika ukanda wake wa Mashariki.

Hali ile iliwapumbaza sana Jamhuri ya kusadikia hadi vyombo vyake vya ulinzi kulala usingizi jambo lililopelekea maadui kupenyeza mtu wao katika harakati za uraisi.

Alipenyezwa adui aliyekubalika sana kipindi akiwa waziri na aliposhika tu uraisi alianza kufanya mambo ambayo nia na dhumuni lake ilikuwa ni kuharibu uimara wa Jamii ya kusadikika kiuchumi na badae kibiashara.

Mambo aliyofanya ni

1. Alimuondoa Mkurugenzi wa uwekezaji mdada aliyejenga sekta ya uwekezaji na kuwafanya wageni waone Jamhuri ya kusadikika ni sehemu salama ya uwekezaji. Akaweka mtu mwingine. Uwekezaji ukaaanza kutetereka

2. Alianza kutumia chombo cha kodi cha Jamhuri ya kusadikika kuharibu biashara. Wafanyabiashara walikamatwa ovyo na kupelekwa mahakamani, kupewa kesi mbaya na kodi kubwa kupeleka kampuni kuanza kufunga na kukimbia. Saivi ndani ya miaka 5 Jamhuri ya kusadikika kila mtu ni mchuuzi, barabara zimejaa wamachinga ambao hawalipi kodi na wanafanya biashara hazipitiki

3. Sekta ya madini Ilikuwa sekta stable sana. Aliiharbu kwa kuleta tume uchwara na kufrasturate wawekezaji kwenye sekta husika kupeleka sekta iyo kuanguka sana. Ilifika hadi akiba ya fedha za kigeni ilianza kutetereka

4. Kwenye Sukari- Alikuwa bei ya Sukari ipo vizuri sana Karibu 1800 hadi 2000 kwa kilo Ila aliharibu biashara ya sukari kupelekea sukari kufika 2500-2600 saivi ndo hadi IMEFIKA 350– 6000 kwa kilo

5.kwenye korosho alikuta biashara ikiwa imenawili, soko liko vizuri, akafanya ya kuharibu biashara ya korosho na sasa haieleweki mbele wapi na nyuma wapi, wafanyabiashara wa zao hilo wanalia na wakulima wanalia

6. Kwenye Mbaazi ndo usiseme ameharibu kila kitu hadi haielewi mbele wapi na nyuma wapi- Hii ni baada ya kuwaharibia wafanyabiashara waliokuwa wakinunua zao hili

7. Kwenye diplomasia saivi Jamhuri ya kusadikika kila mtu a namuona kama Somalia tu. Anadharauliwa, hapendwi na hadi mataifa mengine wanajiuliza kama iko sawa. Ameharibu mahusiano na Mataifa tajiri kwa kiburi chake na sasa ameingia hadi kwa majirani na watu wa kanda kwenye bara husika

8. Mshikamano wa kitaifa haupo tena Jamhuri ya kusadikika. Ameweka watu wa upande fulani zaidi hadi wao kuanza kujiona ndo wenye nchi zaidi. Hali si hali

9. Kwenye chama chake ndo hakufai. Ameharibu hadi hawajielewi.

Huyu ndo agent aliyepewa uongozi kwenye Jamhuri ya kusadikika na kuimaliza ndani ya miaka mitano.

Swaumu Njema.
 
Raisi wa hovyo kabisa kuwahi kutokea,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Natofautiana na wewe kwenye kipengele kimoja tu mkuu, huyu kiongozi wa sasa wa Jamhuri ya Kusadikika hajatumwa na mtu yeyote kufanya uharibifu anaofanya.
Ni mtu mwenye kiburu na roho ya ghilba. Hataki kuona mtu mwingine yeyote anatajwa kwa wema zaidi yake. Ubinafsi wake ndio unazua yote haya. Kama tu angekubali kushaurika tusingefika hapa tulipo sasa. Lakini nafsi yake imejaa majingambo, ujuaji, roho mbaya na zaidi ya yote visasi.
Kila anachokifanya ni kwa dhamira mbili, aidha kusifiwa ama kukomoa. Kwa mtindo huo hatutofika maana tayari Jamhuri ya Kusadikika keshaichukulia kama mali yake binafsi.
 
Back
Top Bottom