heeee unanitafutia noma gani hili tena
yaani unaniweka mstari mmoja na The secretary tena na Bishanga pembeni
hivi unahesabu kuwa na wewe una beibe erickb52 daaaah
kweli poleeee we.
vinginevyo ni vizuri watu kutafutana
huwezi jua ndo yule aliyepelekwa tbr
wewe unacheka cheka tu hapa.
lakini bango liko wapi
mwenzio alikuwa na bango na watoto
wewe je?
Chocs acha kuzuga,jibu swali,saizi ya kiatu cha @er