Tyta kweli huyu jamaa alilunogesha sana hili jukwaa sijui kapotelea wapi..
Halafu hata kwenye majukwaa mengne wakongwe wengi wamepotea sana. Kipind hicho jf ilikuwa gt kweli. Lakn sasa hivi kuna kundi la vijana limevamia jf yaan majungumajungu, umbea umbea tu dah!
Tyta, The secretary,Ngongo ,The Boss ,msemakweli, Malafyale na wengne wengiiiiii
Jamaa alikuwa ana picha ya tukio lolote. Wale wazee wa lete picha walimkoma! Huwa anakuwepo jukwaa la michezo NBA Special Thread.Inawezekana wengi hawamjuu huyu gwiji bingwa wa jukwaa hili la picha, enzi zake ilikuwa utake picha gani akose kukupoza kiu yako? Alini inspire sana kuingia JF PHOTOS... lakini ni kama zaidi ya miaka miwili sasa simuoni popote!
Hii ndio ilikuwa Avatar yake maarufu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwambie arudi kusalimia tafazaliJamaa alikuwa ana picha ya tukio lolote. Wale wazee wa lete picha walimkoma! Huwa anakuwepo jukwaa la michezo NBA Special Thread.
Tyta unaitwa huku
Tyta kweli huyu jamaa alilunogesha sana hili jukwaa sijui kapotelea wapi..
Halafu hata kwenye majukwaa mengne wakongwe wengi wamepotea sana. Kipind hicho jf ilikuwa gt kweli. Lakn sasa hivi kuna kundi la vijana limevamia jf yaan majungumajungu, umbea umbea tu dah!
Tyta, The secretary,Ngongo ,The Boss ,msemakweli, Malafyale na wengne wengiiiiii
We ndo nimekuelewa, waongo waongo wa jf waliipata fresh kwa huyu mtuMzee wa kuumbua pia
Kuna watu aina nne dunianiWatakua na wenyewe ma great thinker, kila kitu ni process.
Siku hizi anajulikana kwa ipi?Alibadilisha id