babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 16,279
- 20,823
yaani kweli jamaa yuko kazini.Kagame yuko kazini. Hawezi kujivua na ombwe hili
yaani kweli jamaa yuko kazini.
Mauaji haya ni mbinu za watu wanaopanga ili kumchafulia jina Kagame, aonekane muuaji na kumdetract from the development work he is carrying out in Ruanda.
wake up,not first time hii mara ya ngapi wtu wanauliwa tuu,anyway yana mwisho haya.Mauaji haya ni mbinu za watu wanaopanga ili kumchafulia jina Kagame, aonekane muuaji na kumdetract from the development work he is carrying out in Ruanda.
Yeah, kuna huyu anayeitwa Koba, atatia timu muda si mrefu we ngojea tu..Subirini wakimbizi waamke patakuwa hapatoshi hapa.
Nani amefanya mbinu? umejuaje? tupatie ushahidi tafadhaliMauaji haya ni mbinu za watu wanaopanga ili kumchafulia jina Kagame, aonekane muuaji na kumdetract from the development work he is carrying out in Ruanda.
Mauaji haya ni mbinu za watu wanaopanga ili kumchafulia jina Kagame, aonekane muuaji na kumdetract from the development work he is carrying out in Ruanda.
Mkuu kwanini alikuwa anasumbuliwa kupata registration? au nazo hizo ni mbinu za watu wanaomwonea wivu Kagame?
Kwa nii CCJ inasumbuliwa kupata registration? Au hiyo hauioni...umekuwa blinded na Babukijana and Co. It seem babukijana ana interest sana na Kagame...I guarantee you that 99.99% ya posts za Babukijana ni Kuhusu Kagame....sasa hiyo ni nini? Si ni obsession!! Kama ungekuwa nchi za wenzetu walioendelea you could be termed as a cyber stalker....LoL...."Songa Songa Mbele...hata watu wakuseme, Songa Mbele Kagame"...lyrics by Alpha of Tusker Project Fame.