True that, ila aliandika kuhusu mmoja wao tu, BALKIS, queen of shebah. Na haya maneno hapo juu ni toka kwa Balkis.Huyu ndio solomon bana king wa malavidavi nasikia eti aliuwa na wake 700 na concubine 300,?mm hawa watatu wanantoa jasho.
ahahaa kwa kujifagilia ushindwi kusema ni weweRR
Unashare wimbo tu au at the same time umekusudia ni ujumbe unamfikishia mtu fulani (jina kapuni)?
8 Nawasihi, enyi binti za Yerusalemu, Ninyi mkimwona mpendwa wangu, Ni nini mtakayomwambia? Ya kwamba nazimia kwa mapenzi.
9 Mpendwa wa namna gani ni mpendwa wako, Wewe uliye mzuri katika wanawake, Mpendwa wa namna gani ni mpendwa wako, Hata wewe utusihi hivyo?
10 Mpendwa wangu ni mweupe, tena mwekundu, Mashuhuri miongoni mwa elfu kumi;
11 Kichwa chake ni kama dhahabu safi sana, Nywele zake ni za ukoka, nyeusi kama kunguru;
12 Macho yake ni kama hua penye vijito, Wakioga kwa maziwa, wakiikalia mito iliyojaa;
13 Mashavu yake ni kama matuta ya rihani, Ambayo hufanyizwa manukato; Midomo yake ni kama nyinyoro, Inadondoza matone ya manemane; 14 Mikono yake ni kama mianzi ya dhahabu, lliyopambwa kwa zabarajadi; Kiwiliwili chake kama kazi ya pembe, Iliyonakishiwa kwa yakuti samawi;
15 Miguu yake ni kama nguzo za marimari, Zilizowekwa juu ya misingi ya dhahabu; Sura yake ni kama Lebanoni, Ni bora mfano wa mierezi;
16 Kinywa chake kimejaa maneno matamu, Ndiye mzuri sana pia pia. Ni huyu mpendwa wangu, ni huyu rafiki yangu, Enyi binti za Yerusalemu.
Source: Wimbo Ulio Bora, 5:8-16 (Bibilia Takatifu)

Acha nikae seat ya mbele............ mmmh never been this curiousKuna ujumbe natuma hapa, ngoja utajionea jibu... usiondoke.
Nimekupata ila sijaelewa baadhi ya maneno kwenye huu wimbo naomba unipe maana zake ili niuelewe vyema.
- Hua
- Matuta ya rihani: Beds ofbasil (Basil ni kiungo cha majani, kunanukia safi sana, mostly used in pizza)
- Nyinyoro
- Manemane: myrrh (ni utomvu wa mti fulani unatumika kutengeneza udi)
- Zabarajadi: beryl 9Ni aina ya madini fulani , precious stone close to emerald, iko mostly green)
- Yakuti samawi Sapphire (Another precious stone, hii iko Bluu)
- Mierezi : Cedar (ni aina ya mti unaotoa mbao za quality nzuri sana, pia wanaweza kutengeneza wine kwa majani yake)
Nimeona lakini umetumia kiwakilish badala na nafsi ya kwanza!
Kisirisiri tena? Au hujaona tittle ya thread?