CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,951
- 9,511
Hili ni TOP M moja ya kombola hatari kabisa
Sifikiri kama US wako kama unavyowafikiria kuwa,kabla hawajafikiria kuishambulia syria hayo yote walishayaweka kwenye possibilities na wakapata majibu yake!
Na katika masuala ya kijeshi na kiteknolojia sidhani kama urusi iko juu zaidi ya US