kwanini unasema mapenzi ya "kidhungu" na sio "mapenzi ya heshima"
au "mapenzi ya kuelewana" au "mapenzi ya watu hawana insecurity"etc.
kulikua na namna nyingi ya kusema, kwanini ulichagua ÿa kidhungu"?
Wana JF naomba tuthibitishe au tukatae hili
Mpenzi wa 'kidhungu' akikupigia ucpopokea atakuTEXT
=honey. What's wrong? Are you alright?I hope you are safe! Call me back.....I love you!!!
MPENZI WA KIBONGO SASA UCPOPOKEA CM YAKE,
=we mshenzi umalaya utakuua mbwa ww! Na mwaka huu ukimwi utakumaliza MPUMBAVU ww!! Na ucnipigie tena na namba yangu futa endelea na haohao malaya wenzio tena ucnizoee mi cjakuzaa!!!!!
Je ni kweli au inategemea na mtu?
MPENZI WA KIBONGO SASA UCPOPOKEA CM YAKE,
=we mshenzi umalaya utakuua mbwa ww! Na mwaka huu ukimwi utakumaliza MPUMBAVU ww!! Na ucnipigie tena na namba yangu futa endelea na haohao malaya wenzio tena ucnizoee mi cjakuzaa!!!!!
tena anakuongezea mtoka pabaya wewe!