Miss u my mwanza mwanza

Naona mmemis kunya vichakani na ufukweni mwa Ziwa. Mwanza hakuna kitu kabisa,empty set.
 
Mitaa ya kirumba mpak maeneo ya Bwiru...hzi sehemu ni amazing sana..i wish one day ntaparchase nyumba mitaa hyo aisee
Mitaa mingi mwanza ni amazing sana
 
Hahahahaaaaa et alikuwa anakaa shamaliwa
 
Mwnza ni pazuri mnoo namiss beach zile aiseee nimehamia Dom pakame mpka panaboa. Malaika beach ni noma sana,kwa kishimba aka Rock beach,jembe ni jembe na charcoal ribs na nyingine nyingiii haziishi. Ukijani na mandhari kweli si pakubezwa huko. I love Mwanza
 
Nilokua nakaa nyegezi juu ukiwa chumbani unaangalia mandhari ya ziwa upande wa luchelele yani safiiiiiiii,hewa safiiii
 
Mkuu usibishane na taahira!!
 
Mkuu uko dodoma sehemu gan maana hata mimi now niko dodoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…