Miss Tanzania: Diana Edward Lukumai ameshinda taji la Miss Tanzania 2016

mashindano makubwa kama haya hayawezi kupelekwa katika vimiji vidogo, kwa tanzania miji ya dar na mwanza pekee inayoweza kuandaa kitu kikubwa kama hiki. dar ishafanyika mara 22 kwa hiyo sasa ni zamu ya mwanza mfurulizo afu litarudi dar, kwa baadae tutaifiria arusha
Ndio mana hamjui hata pakuweka R na L
 
14704949_214608002301464_7049825303236968448_n-jpg.426362

Dah I hate make up jamani...!!!

hebu ona hizo picha mbili za mwanzo...kama kinyago!
 
ahaaaaa aaa bora umesema la moyoni mwako. Ila hata hao warembo hawana cha maana walichofanya kimataifa. Haya mashindano yafutwe
 
Gari yenyewe IST?!au macho yangu jamani?!kumbe hata mimi naweza Kudhamini haya mashindano mweh!
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Back
Top Bottom