Miss Tanzania 2009 aswekwa rumande

hawa mamiss wa siku hizi jamani haka kashindano kangefutwa tu

FL: Huu ni mradi wa watu wa kujipatia pakujipumzikia baada ya kazi hapa mjini!! Mengi yamesemwa juu ya mashindano haya....lakini nani wa kuchukua hatua???

Wadogo zenu wanatumika kama vyombo vya starehe, stuka!!
 
Tatizo baadhi ya wanaume wakiwapitia hawa mabinti wanaweka kambi......hawa mabinti si wakuweka kambi. Unachapa na kutambaaaa!!

Tatizo wanapanda daladala, wakishuka wana book seat isikaliwe na mtu, kitu ambacho hakiwezekani hapa mjini!!
 
ok nimikuelewa kumbe mariam du noma kweli hafaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii kuwa misssssssssssssssssssssssssssssssssss
 
miss tanzania na na mai boifrend wake walala segerea baada ya kukosa zamana mahakamani kinondoni</p>

Hawana majina? kwa makosa gani? mahakama gani ya mwanzo ya mwisho ya kati? kama hujui kitu bora usibandike vitu nusu nusu.
 
hivi hawa mamiss wa Tz wana nini jamani? mbona utulivu hawana kabisa, maana kila miss amakuwa na vituko vyake, huwa wanatolewa wapi hawa?
 
Habari nilizopata punde toka Clouds FM ni kuwa Vodacom Miss Tanzania 2009 Mirium Gerald atiwa ndani yeye na boyfriend wake baada ya kufanya fujo sehemu ya starehe na kushindwa kutoa dhamana ya TZS 1m kila mmoja. Habari kamili kufuata punde...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom