Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu na mama yake wahamia CHADEMA kutoka CCM

ruth mollel alikuwa CCM akahamia CHADEMA mwezi mmoja kabla ya uchaguzi akapewa viti maalum....Makamanda wapigania chama mlifanya nini? Wema hata kesho akipewa ubunge wa viti maalum hakuna kamanda hata mmoja atanyanyua mdomo wake
Hiyo era ishapita dada, hatuendekezi ujuha!
 
....
.....Ng'wabheja sana Ngika
 
Haya makamanda papuchi imekuja ndani ya Chama.... Ni kuivalia kombati na kuipigia kwata tu....
Na wamuombe msamaha lowassa
 
hahahah Mbowe akiamua kumpa Wema Sepetu hata ukatibu mkuu wa chama leo hakuna kamanda yoyote atafungua bakuli lake...CHADEMA ina wenyewe nyie wengine ni bendera fuata upepo tu
Dada tambua ya kuwa sisi ni makamanda wenye kuamua mustakabali wa chama chetu,
Viongozi wakitoka nje ya mrengo, watatusamehe manake wataondoka.

Dada sisi sio kama wewe ambaye umekosa uelekeo,
Ulimfuata lowassa, ulipoona hakuna tena hela ukajirudia CCM, kule nako umemkuta Mwenyekiti mpya hasomeki

Sasa sijui unasimamia wapi

Kajiunge na alshaabab mkaisimamishe East African Callifates
 
Duuh, ni mapema sana kusema nini kitakachojiri. Ila ngoja tuone hatima itakuwaje.
 
Cku zote mfa maji haishi kutapatapa,haya majambo tuliyakuta na tutayaacha so mm yangu macho naomba umri mref ili nijue mwaafaka
 
Wema ukawe active member,

sio ubaki 'alijiunga na chadema,lol

kwa ushawishi ulionao katika jamii,chadema wakikupa nafasi uta shine sana mamii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…