Miss Tanzania 1967

Miss Tanzania 1967

Tokyo40

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2013
Posts
2,065
Reaction score
1,926
ImageUploadedByJamiiForums1436924919.335997.jpg

Miss Tanzania, Teresa Shayo, kushoto, Rosemary Salmond (Uganda), Rosalind Balogun (Nigeria) na Araba Vroon (Ghana) wakiwakilisha Afrika katika Miss World, London, 1967.
 
Hapo wote bikra..maana nasikia miaka hiyo hadi binti akuvulie nguo ni miaka mi3 unatongoza na hapo umeahidi na ndoa ila hutokaa ulione walau goti lake mpaka utekeleze ahadi ya ndoa.sio sasa mkibadilishana namba za simu baadae akikubeep unaandaa kabisa condom..ma-miss wengi wa karne hii lazima kwanza wavue nguo kwa ma-judge ili wavikwe taji.
 
Nywele zilikua nzuri sana enzi hizo na kulikua hakuna ma chemical ya hatari kama sasa!
 
ImageUploadedByJamiiForums1436952338.140497.jpg

Our very beautiful Teresa Shayo!

Nasikisika kusoma katika mtandao kuwa Teresa Shayo kafariki mwaka 2007 huko Ujerumani alipokuwa anaishi.

R.I.P our Beauty Queen.
 
Hii dhana ya miss zetu kujikondesha ilitoka wapi? Mbona hawa wanaonekana wananyama na wamenona haswa?..
 
Back
Top Bottom